KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Tuesday, June 26, 2012

JANGWANI KWA YESU NA KULOLA - VIZIWI WASIKIA

Jana tarehe 25 June 2012  ilikuwani Siku ya furaha kwa Baadhi ya watu waliofika katika Mkutano wa Injili katika viwanja vya Jangwani unaondeshwa na Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God Tanzania chini ya Askofu Mkuu Dk. Moses Kulola kwa kupokea Miujiza ya kusikia baada ya muda mrefu kuwa viziwi.

Katika picha za chini ni baadhi ya matukio kwa wengi waliofika kuombewa ili Yesu Kristo aweze kuwafungua.











No comments:

Post a Comment