KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Saturday, June 16, 2012

MKUTANO WA KULOLA LIVE RADIO WAPO

Askofu John Zacharia pamoja na Mchungaji Katunzi wakiwa leo katika Kipindi Maalumu Radio wapo ambapo walikuwa wakiwasihii wanainjili kushiriki katika Maandalizi ya mkutano huu ambapo Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies Of God, Dk Moses Kulola.


 Picha ya Juu Mchungaji Katunzi akiongea na Msikilizaji katika Radio ya Wapo na Picha ya Chini Askofu Zacharia akiongea na Msikilizaji kwa Mawimbi ya Wapo Radio Fm
Katika Picha hii Leo Mtangazaji wa Kipindi Bi Angelina Lukindo akiwa Live na Watumishi wa Mungu kwa Mahojiano

No comments:

Post a Comment