KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Wednesday, July 25, 2012

WADAU BANDARI KUONGEZA TOZO LA MUDUMA



Mwenyekiti wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Salim Msoma  akifungua mkutano wa wadau wa kujadili mapendekezo ya kuongeza tozo mbalimbali zinazotozwa Bandarini kupitia  huduma za Meli, mkutano ambao ulifanyika jana katika ukumbi wa NSSF Water Front jijini Dar es salaam, kulia ni Kaimu mkurugenzi mkuu wa SUMATRA Ahmad Kilima.

No comments:

Post a Comment