KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Wednesday, October 31, 2012

INJINIA MANYANYA AJITOSA KUTETEA NAFASI YAKE YA UJUMBE WA NEC TAIFA KUPITIA JUMUIYA YA WAZAZI

 
Injinia Stella Martin Manyanya ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, MNEC Jumuiya ya Wazazi toka mwaka 2007, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Mjumbe wa SADC PF na Msimamizi wa Kimataifa wa Uchaguzi kupitia vionjo vya Uhandisi, Ujasiriamali na Sanaa alivyokuwa navyo ameamua kujitosa tena kwenye uchaguzi wa kutetea nafasi yake ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kupitia Jumuiya ya Wazazi katika uchaguzi unaofanyika leo tarehe 31/10/2012 Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment