KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Monday, November 12, 2012

KONGAMANO KUBWA LA MAOMBEZI DAR ES SALAAM NA MCHUNGAJI KATUNZI NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA

Suku ya Jumapili katika viwanja vya Sabasa Ukumbi wa PTA lilianza Kongamano la Maombi na Maombezi chini ya Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God City Centre ambapo muhubiri wa Kongamano ni Mchungaji Frolian Katunzi.
Konngamano hilo litakalochukua siku Nane bado linaendelea katika Viwanja hivyo vya Sabasaba PTA Hall huku maelfu wakimiminika kuhudhuria Kongamano hilo ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki toka siku ya kwanza ya Kongamano lenyewe,
Chini ni Tangazo la Kongamano hili chini ya Mtumishi wa Mungu Froliani Katunzi.


 Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Samueli Limbu akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
 Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Silas Mbiseambaye pia ni Mtangazi wa Kituo cha Wapo Radio akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
 Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Mchungaji Yohana Mwegoha akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
 Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Masanja Mkandamizaji ambaye pia ni Mshiriki wa Kikundi za Ze Komedi akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
 Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Frola Mbasha akiimba na Mumewe Emanuel Mbasha wakiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
 Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Eveline Msoome akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nchini Kenya Solomoni Mukubwa akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana

Kumbuka waimbaji wote hawa watakuwepo siku zote za Kongamano la Maombi na Maombezi.

No comments:

Post a Comment