KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Tuesday, November 13, 2012

KONGAMANO LA KIMATAIFA LATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM

Leo katika Viwanjwa vya Sabasaba Ukumbi wa PTA Hall ambapo Mchungaji Frolian Katunzi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God City Center ambapo kabla ya Yeye Kupanda Waimbaji mbalimbali wakiimba muda huu

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Mchungaji Yohana Mwegoha akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Mchungaji Madam Ruth akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Waimbaji wa Nyimbo za Injili wakiwa katika Gari la kurushia Matangazo ya Kituo cha Wapo Radio hii leo kabla ya kupanda kuimba.
 Picha ya Juu ni Mtangazaji wa kituo cha Wapo Radio akifanya mahojiano na Bahati Bukuku Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Tanzania.

 Picha ya Juu ni Mtangazaji wa kituo cha Wapo Radio akifanya mahojiano na Bahati Bukuku Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Tanzania.

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Masanja Mkandamizaji akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Picha ya Juu ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Tanzania na Mchungaji Katunzi pamoja na Mkewe Rachel Katunzi wakiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Mtaalamu wa Vyombo kutoka City Music Sound akiimba kwa furaha baada ya kuzidiwa na furaha na hatimaye kushindwa kujizuia.

 Picha ya Juu ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Mchungaji Katunzi na Waimbaji wengine wakiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Picha ya Juu ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Christina Mbilinyi na Bahati Bukuku wakiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Masanja Mkandamizaji akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya Solomoni Mukubwa akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

  Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili wa hapa nchini Tanzania Bahati Bukuku akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
  Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili wa hapa nchini Tanzania Bahati Bukuku akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.

No comments:

Post a Comment