KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Thursday, November 8, 2012

UJUMBE KUTOKA RAS AL KHAIMAH WAKUTANA NA DK. SHEIN


  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na  Bw, Salem Ali
Sharhan,Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah,akiongoza ujumbe wa watu
wanne ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe kutoka Ras Al
Khaimah,ukiongozwa na  Bw, Salem Ali Sharhan,(wa pili kulia) akiwa
Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah, ujumbe huo wa watu  wanne
lipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment