Picha ya Chini Watu wengi walioshiriki katika Ufunguzi wa Mkutano hapo Jana tarehe 24 June 2012
Picha ya Chini Askofu Kulola akihubiri Injili kwa Watu waliofika katika Viwanja vya Jangwani hapo Jana |
Picha ya Chini Askofu wa Jimbo la Kinondoni EAGT akiwa katika Hisia ya Maombi hapo jana katika ufunguzi wa Mkutano
Hii leo Mkutano huu unaendelea katika viwanja hivyo vya Jangwani ambapo Mhubiri huyu wa Kimataifa Askofu Kulola atakuwa akiendela na Injili katika viwanja vya wazi ambapo kituo cha Radio Wapo watakuwa wakirusha Moja kwa Moja Mkutano Huu.
No comments:
Post a Comment