Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania Jumamosi ya tarehe 23 June 2012 alifungua Kanisa la Jesus Village lililo chini ya Jimbo la Kinondoni ambapo Viongozi mbalimbali wa Kanisa walihudhulia Ufunguzi Huo.
Picha ya Chini Brigedia Jenerali Mstaafu Hemed akiombewa kupata Baraka na Askofu Mkuu Kulola.
Picha ya Chini Mchungaji Playgod Mgonja akisoma Risala kwa Askofu Mkuu wa EAGT wakati wa Ufunguzi Jumamosi ya tarehe 23 June 2012.
Picha ya Chini Askofu Kulola akilifungua Rasmi kwa ajili ya Shunguli za Kanisa kulia Mchungaji Mgonja akishuhudia.
Picha ya Chini Mama Kulola akitoa Ahadi ya Mchango wa Laki tano kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Kanisa.
Picha ya Chini kutoka Kushoto Mchungaji Marego katikati Askofu Mstaafu Willy Matingisa na Anayefuata ni Askofu Bruno Mwakibolwa wakifurahia jambo wakati wa Ufunguzi.
Picha ya Chini Askofu Kulola akiwekea Mkono waq Ulinzi katika utumishi Mchungaji wa Kanisa hilo Playgod Mgonja.
Katika Picha ni Baadhi ya Matukio ya Ufunguzi huo.
No comments:
Post a Comment