Siku ya Jumanne ya tarehe 02 July 012 katika Kanisa la Gilgali Mwanjelwa jijini Mbeya hakika ilikuwa siku ya furaha kwa Kambi la Wamama katika jimbo la Mbeya Mjini ambapo Bwana Yesu alionekana kwanjia ya tofauti baada ya Mungu kuwatumia watumishi wake kwa kuipeleka Injili yake mbele ambapo watumishi mbalimbali walikuwa wawezeshaji wa Semina hiyo.
Chini ni Baadhi ya watumishi na waumini wakishiriki kumlingana Mungu kwa uaminifu.
Picha ya Juu ni Baadhi ya watu waliofurika katika Kanisa Gilgali lililoko Mwanjelwa Jijini Mbeya wakishiriki Maombi.
Picha Juu ni Mchungaji Camilly pamoja na Mchungaji Katunzi kwa Pamoja wakiendesha Maombi katika Semina ya WWI Mbeya.
Picha ya Juu ni Makamu Akofu EAGT Taifa Mchungaji Asajigwe Mwaisabila akishuhudia ibada ya Maombezi ya Kanisa la Gilgali.
Picha ya Juu ni Mchungaji Athanes Camilly akiendesha Semina ya WWI hii leo Kanisani hapo.
No comments:
Post a Comment