Umoja wa Wainjilisti wa Kikristo Tanzania ( UWAKITA ), utafanya mkutano na waandishi wa Habari siku ya Alhamisi ya tarehe 14 June 2012 ili kuzungumzia uchomwaji wa Makanisa Zanzibar na mchakato wa Katiba mpya.
Hivyo tunapenda kuwakaribisha wanahabari wa vyombo vyote katika ukumbi wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano lililoko Posta Mpya Jijini Dar es Salaam majira ni saa Nne asubuhi.
Picha ya juu ni Mwinjilisti wa kimataifa ndugu Cecil Simbaulanga, Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Huduma ya Biblia ni Jibu Tanzania, anapatikana kwa mawasiliano
+255 789 606070
+255 756 270001
+255 718 880050
No comments:
Post a Comment