Waumini wa Kanisa la EAGT City Centre kwa Mchungaji Katunzi FJ wakiwa katika Ibada iliyokuwa ikiendelea hapo jana siku ya Jumapili katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa ka maombi ya kuliombea Taifa letu la TANZANIA hapo jana.

Kushoto ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili Loveness Amos akiwa na Mchungaji Katunzi FJ katika kuwekwa wakfu kwa album yake ya kwanza yenye Jina la Unishike katika Ibada iliyokuwa ikiendelea hapo jana siku ya Jumapili katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa ka maombi ya kuliombea Taifa letu la TANZANIA hapo jana.
Kushoto ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili Atosha Kisava akiwa na Mchungaji Katunzi FJ wa EAGT City Centre wakiimba katika Ibada iliyokuwa ikiendelea hapo jana siku ya Jumapili katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa ka maombi ya kuliombea Taifa letu la TANZANIA hapo jana.
Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Tumsifu Rutuphu Maarufu kama mwambie Farao alipokuwa akiimba katika Kanisa la EAGT City Centre kwa Mchungaji Katunzi FJ, katika Ibada iliyokuwa ikiendelea hapo jana siku ya Jumapili katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa ka maombi ya kuliombea Taifa letu la TANZANIA hapo jana.
Huu ndio wakati ambapo Kanisa zima la EAGT City Centre chini ya Mchungaji Katunzi waliposimama kwa umoja wao na kupaza sauti zao huku wakipeperusha Bendera ya Taifa la Tanzania tena wakiwa na saumu ya siku tatu kwa kufunga na kuomba juu ya Taifa lao lisipatwe na Mabaya, katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa kwa maombi ya kuliombea Taifa letu la TANZANIA hapo jana.
Huu ndio wakati ambapo Kanisa zima la EAGT City Centre chini ya Mchungaji Katunzi waliposimama kwa umoja wao na kupaza sauti zao huku wakipeperusha Bendera ya Taifa la Tanzania tena wakiwa na saumu ya siku tatu kwa kufunga na kuomba juu ya Taifa lao lisipatwe na Mabaya,
katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA
ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa
OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa kwa maombi ya kuliombea
Taifa letu la TANZANIA hapo jana.

Waumini wa Kanisa la EAGT City Centre kwa Mchungaji Katunzi FJ
wakiwa katika Ibada iliyokuwa ikiendelea hapo jana siku ya Jumapili
katika Viwanjwa vya Mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba ukumbi wa PTA
ambapo Kongamano la Maombi na Maombezi lililokuwa limebeba ujumbe wa
OPERESHENI NG'OA MAPANDO lilikuwa linahitimshwa ka maombi ya kuliombea
Taifa letu la TANZANIA hapo jana.
No comments:
Post a Comment