Injinia
Stella Martin Manyanya ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, MNEC Jumuiya ya
Wazazi toka mwaka 2007, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Mjumbe wa
SADC PF na Msimamizi wa Kimataifa wa Uchaguzi kupitia vionjo vya
Uhandisi, Ujasiriamali na Sanaa alivyokuwa navyo ameamua kujitosa tena
kwenye uchaguzi wa kutetea nafasi yake ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa (NEC) kupitia Jumuiya ya Wazazi katika uchaguzi unaofanyika leo tarehe 31/10/2012 Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment