Jana tarehe 25 June 2012 ilikuwani Siku ya furaha kwa Baadhi ya watu waliofika katika Mkutano wa Injili katika viwanja vya Jangwani unaondeshwa na Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God Tanzania chini ya Askofu Mkuu Dk. Moses Kulola kwa kupokea Miujiza ya kusikia baada ya muda mrefu kuwa viziwi.
Katika picha za chini ni baadhi ya matukio kwa wengi waliofika kuombewa ili Yesu Kristo aweze kuwafungua.
No comments:
Post a Comment