Jumapili ya tarehe 24 June 2012 katika Ibada ya Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God Tanzania City Center Dar es Salaam chini ya Mchungaji Frolian Katunzi ilikuwa ni Ibada ya tofauti na iliyojaa nguvu za Mungu ambapo wengi waliofika hakika walipata chakula kizuri cha kiroho kwa wakati husika.
Picha za Chini ni Baadhi ya Matukio yaliyojiri katika Ibada Husika ya tarehe 24 june 2012 iliyofanyika katika Ukumbi wa Bandari tandika Wilayani Temeke.
No comments:
Post a Comment