Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Wilaya ya Mbozi wamewakiwa na Moto wa injili ya Yesu Kristo mwana Mungu aliye Hai baada ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Athanase Camilly kuhubiri injili ya Kristo Yesu mwana Mungu aliye na Nguvu kuliko nguvu nyingine yoyote ile iliyowahi kuwako na ambayo haitakuwako kamwe.
Mchungaji Camilly ambaye alikuwa akihubiri katika Kijiji cha Lutumbi Mlowo katika Wilaya ya Mbozi siku ya Jumapili ya tarehe 08 July 2012 amesema hakika ni lazima kuokoka na hakuna hiari kwani kila nafsi itaonja mauti na Hiku ni Lazima yivyo kuokoka hakukwepeki kwa namna yoyote ile.
Katika picha ni Baadhi ya Matukio ya Mkutano wa Injili uliofanyia katika Kijiji hicho.
Picha ya Juu ni Baadhi ya Wachungaji walioshiriki katika Mkutano wa injili uliofanyika Mbozi Mlowo tarehe 08 July 2012.
Picha ya Juu ni Baadhi ya Watu waliofika kusikiliza Injili ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu wilayani Mbozi Mbeya.
Picha ya Juu ni Kanisa la EAGT Lutumbi Mbozi Mlowo Kanisa ambalo lipo katika Mkakati wa Ujenzi hivi sasa.
Picha ya Juu ni baadhi Waimbaji waliofika katika Mkutano wa injili wa Mbozi Mlowo.
Mwinjilisti Athanase Camilly akihubiri Injili katika viwanja vya Kanisa la Lutumbi Mlowo Wilayani Mbozi.
Picha ya Juu Mchungaji Athanase Camilly akifafanua jambo katika Mkutano wa Injili uliofanyika Lutumbi.
Picha ya juu ni Baadhi ya wakazi waliofika katika kijiji cha Lutumbi kusikiliza Injili ya Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment