Mwenyekiti wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari
Tanzania (TPA) Salim Msoma akifungua
mkutano wa wadau wa kujadili mapendekezo ya kuongeza tozo mbalimbali
zinazotozwa Bandarini kupitia huduma za
Meli, mkutano ambao ulifanyika jana katika ukumbi wa NSSF Water Front jijini
Dar es salaam, kulia ni Kaimu mkurugenzi mkuu wa SUMATRA Ahmad Kilima.
No comments:
Post a Comment