Naibu katibu Mkuu wa chama cha wanachi CUF Bwana Julius Mtatiro ameelezea kujiuzuru kwa Waziri wa Miundo mbinu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa viziwani Zanzibar Mheshimiwa Hamad Masoud Hamad ambaye pia ni Mwakilishi wa jimbo la Ole kupitia chama cha CUF kutokana na Ajali ya Boti ya SKAGIT iliyotokea tarehe 18 July 2012 kisiwa cha Chumbe katika Kituo cha Wapo Radio hii leo, ambapo kwa taarifa zaidi ungana na Wapo radio kwenye Taarifa ya Habari saa Moja kamili.
Katika Picha za chini ni Naibu Katibu Mkuu Bara Bwana Julius Mtatiro akifanyiwa mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Meza ya Busara Bwana Anthony Joseph.
Picha ya juu ni Bwana Anthony Joseph ambaye ni Mtangazaji na Mhariri wa Radio Wapo akiwa katika kipindi cha Meza ya Busara hii leo.
No comments:
Post a Comment