KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Saturday, August 4, 2012

MOTO ULIVYOWAKA EAGT CITY CENTER NA MCHUNGAJI CAMILLY

Mchungaji Athanase Camilly kutoka Jiji la Mbeya ambaye pia ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Isanga Mbeya, amewasha moto wa Injili ya Yesu Kristo katika Madhabahu ya Bwana iliyoko EAGT City Center kwa Mchungaji Frolian Katunzi kuanzia tarehe 01 August 2012 siku ya jumatano ambapo Mapepo yamekubari ya kuwa Yesu ni Moto ulao na kamwe hakuna wakuzuia Nguvu zake.

Akihubiri kwa Hasira kari kama Mbogo aliyejeruhiwa Mchungaji na Mwinjilisti wa Injili Camilly amefurumusha mapepo majini na vinyamkera kwa jina la Yesu kama kufurusha Mwizi asiye na Silaha kwa Wananchi wenye hasira kali.

Katika Picha ni baadhi ya Matukio yaliyojiri katika Semina ya neno la Mungu kanisa la EAGT City Center.

 Picha ya juu ni Askofu Mafimbo akiwa na Mkewe kanisani EAGT City Center kwa Mchungaji Frolian Katunzi katika Semina iliyokuwa inaendelea Kanisani hapo.
 Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akifundisha katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.

   Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akiongoza Maombi kwa Mtu mmoja mmoja katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
 Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akiongoza Maombi kwa Watu waliofika katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
 Picha ya juu ni Askofu John Mafimbo na Mkewe pamoja Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya wakiongoza Maombi kwa Mtu mmoja mmoja katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
  Picha ya juu ni Mke wa Askofu Mafimbo akiongoza Maombi kwa Mtu mmoja mmoja katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi
 Picha ya juu ni baadhi ya mmoja kati ya waloushuhudia Uponyaji kwa Maombi yanayoendelea hivi sasa katika Kanisa la EAGT City Center huku Mchungaji Camilliy akimsikiliza kwa Makini.
  Picha ya juu ni baadhi ya mmoja kati ya waloushuhudia Uponyaji kwa Maombi yanayoendelea hivi sasa katika Kanisa la EAGT City Center huku Waumini wakimsikiliza kwa Makini.
  Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akifundisha katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
  Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akifundisha katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
  Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akifundisha katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
Picha ya juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akifundisha katika Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.

No comments:

Post a Comment