Msafara wa Watanzania waliokuwa wamekwenda katika Nchi takatifu ya Israel wamerejea salama katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam, akiongea na waandishi wa Habari waliokuwa wamefika katika Uwanja huo kiongozi wa msafara Askofu wa WAPO Mission Slyvester Gamanywa amesema kuwa hakika imekuwa ni safari ya kipekee kwao kwa sababu wengi waliokwenda wamejifunza mengi kutokana na Mengi yalioandikwa katika Kitabu kitakatifu cha Biblia.
Katika picha ni baadhi ya Matukio yalijiri uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere.
Picha ya juu ni Baadhi ya Waumini wakisubiri Viongozi wao walioshiriki Ziara ya Kinabii na Askofu Gamanywa toka Israel.
Picha ya juu ni Askofu Gamanywa akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere toka Israel.
Picha ya Juu ni Mkurugenzi wa Gombo Tours akiwasili toka Nchi takatifu ya Israel ambapo alishiriki pamoja na Askofu Gamanywa.
Picha ya Juu ni Mtume Peter Nyaga akiwasili kutoka Nchi takatifu ya Israel ambapo alishiriki kwa Pamoja na Askofu Gamanywa.
Picha ya Juu ni Mtume Peter Nyaga akipokelewa na Waumini wake huku Kulia kwake Mkewe akishuhudia Mapokezi hayo.
Picha ya Juu ni Askofu Gamanywa na Mtume Nyaga walipokuwa wakizungumza na Waandishi wa Habari hawapo pichani.
Picha ya juu ni Askofu Gamanywa akimkabidhi Hati ya Ushiriki wa Safari kutoka Kampuni ya Gombo Tours mmoja wa washiriki.
Picha ya juu ni Askofu Gamanywa akimkabidhi Hati ya Ushiriki wa Safari kutoka Kampuni ya Gombo Tours Mtume Peter Nyaga.
Askofu Gamanywa akitolea ufafanuzi baadhi ya Mambo yaliyofanyika katika Safari huku akionyesha Hati ya Ushiriki kutoka Kampuni ya Gombo Tours.
Askofu Gamanywa akitolea ufafanuzi baadhi ya Mambo yaliyofanyika
katika Safari ya Ziara ya Kinabii iliyofanyika Nchi takatifu ya Israel.
Picha ya juu ni Mtume Peter Nyaga akimtambulisha Mke wake kwa Mkurugenzi wa Gombo Tours Bwana Willy Kulola.
Picha ya juu ni Mtume Peter Nyaga akimtambulisha Mke wake kwa Askofu wa WAPO Mission Gamanywa.
Picha ya Juu ni Washiriki wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa J.K Nyerere.
No comments:
Post a Comment