Spika wa Tanzania Anne Makinda |
Kumeanza kuwa na uvumi ambao bado haujathibitishwa rasmi na mamlaka za Serikali ya Tanzania kuhusu Afya ya Spika wa Tanzania Anne Makinda kwamba ni mgonjwa au la baada ya kuwepo habari kwamba amekwenda nchini India kwa shuguli kikazi lakini pia kwa ajili ya matibabu ya kawaida ya kucheki afya yake.
Tayari gazeti la Tanzania Daima la Tanzania leo limechapisha habari kwamba afya ya Spika huyo wa kwanza mwanamke nchini Tanzania inazua utata katika habari yenye kichwa cha habari 'AFYA YA SPIKA YAZUA UTATA" na kwamba huenda amelezwa katika hosptali ya Apollo nchini India.
Soma habari kamili hapa chini kama ilivyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima la leo Jumanne 16 October 2012
No comments:
Post a Comment