Mkuu
mpya wa Jeshi la Magereza nchini ,Kamishna Jenerali John Casmiri Minja
akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Mkuu
mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir
Minja,akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu,Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika
ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment