Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akiwa na mumewe Mizengo Pinda baada kupokea zawadi ya ua kutoka kwa mumewe alipompongeza kwa kuhitimu Chuo Kikuu Huria na kupata Shahada ya Uongozi katika Bishara |
Mama Tunu Pinda akiwa na wahitimu wenzake |
Mama Tunu Pinda akifuatilia kwa ratiba ya mahafali ya Chuo Kikuu Huria |
No comments:
Post a Comment