Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph Selasini
kukunjua pazia kama ishara ya kufungua rasmi wa barabara ya KM32 kutoka
Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya
Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya
kikazi ya siku nne.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph
Selasini kukunjua pazia kama ishara ya kufungua rasmi wa barabara ya
KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini
Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko
katika ziara ya kikazi ya siku nne.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na washika dau wa miundombinu wakikata utepe
ishara ya kufungua rasmi wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi
Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa
Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku nne.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph
Selasin katika hafla ya ufunguzi rasmi wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu
Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo
mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya
siku nne.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kabla ya kufungua rasmi wa barabara ya
KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini
Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko
katika ziara ya kikazi ya siku nne.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika moja ya maongezi yake na wananchi
wakati alipokuwa akisimamishwa karibu kila kijiji wakati wa ziara yake
Wilaya ya Same.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika moja ya maongezi yake na wananchi
wakati alipokuwa akisimamishwa karibu kila kijiji wakati wa ziara yake
Wilaya ya Same.
No comments:
Post a Comment