Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus
Makunga katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama wilayani hai leo.Katikati yao ni Waziri wa Ujenzi,Mh. John
Magufuli.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na wananchi katika eneo la sherehe za
uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo
la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama
wilayani hai leo.Kulia ni Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufuli.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani
Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kwa hotuba nzuri ya
kumkaribisha na kumsifia kwa kazi anayofanya katika maendeleo ya
miundombinu nchini katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa
barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe
Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za
uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa
Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman
Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai
na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman
Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama wilayani hai leo.Kushoto ni Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufuli.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi, Mhe John Pombe Magufuli Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe wakikata
utepe mojawapo ya magreda katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi
wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kutoka
katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa
Sadala-Masama wilayani hai leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika picha
ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya
uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai
leo.
No comments:
Post a Comment