Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji na kuomba dua pamoja na familia ya aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha TRA Marehemu Walid Juma nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Walid amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini dare s Salaam.
Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment