KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Tuesday, October 16, 2012

RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAKANISA YALIYOCHOMWA NA WAISLAMU


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa ulkiofanywa katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani ya kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu



 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa baadhi ya waumini wa  Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam kufuatia uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mchungaji George Fupe, uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu

No comments:

Post a Comment