KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Monday, October 29, 2012

SERIKALI YATOA UBANI KWA WAFIWA WA MAREHEMU KOPLO SAID ABDULRAHMAN JUMA

 
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  Mhe,Abdalla
Mwinyi Khamis,(kulia) akikabidhi fedha kwa ajili ya Ubani kwa Niaba ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
 Shein,nyumbani kwa wafiwa wa Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma
Hassan wa Jeshi la Polisi, Nyerere Mjini Zanzibar  leo ,kwa niaba ya
wanafamilia  wa marehemu  Baba Mdogo Juma Omar Salum,(wa pili
kushoto),akipokea ubani, Mkuu wa Jeshi la  Polisi Tanzania  IGP Said
Ali Mwema,(wa pili kulia) na Baba Mzani wa Marehemu,Abdulrahman Juma
Hassan,(kushoto) . [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  Mhe,Abdalla
Mwinyi Khamis,(katikati) akitoa nasaha zake kwa wanafamilia wa
Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma  Hassan wa Jeshi la POLISI
,alipofika  kukabidhi fedha kwa ajili ya Ubani kwa Niaba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,nyumbani kwa wafiwa  Nyerere Mjini Zanzibar  leo ,wengine
kushoto  Mkuu wa Jeshi la  Polisi Tanzania  IGP Said Ali Mwema,
(kushoto) na kutoka kulia Kamishna wa Polisi Zanzibar MUssa Ali Mussa
na Afisa  Tawala Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahamoud,),hafla
hiyo ilifanyika leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment