Leo katika Viwanjwa vya Sabasaba Ukumbi wa PTA Hall ambapo Mchungaji Frolian Katunzi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God City Center ambapo kabla ya Yeye Kupanda Waimbaji mbalimbali wakiimba muda huu
Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Mchungaji Yohana Mwegoha akiimba hii leo katika Kongamano la Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini,
Tanzania Mchungaji Madam Ruth akiimba hii leo katika Kongamano la
Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Waimbaji wa Nyimbo za Injili wakiwa katika Gari la kurushia Matangazo ya Kituo cha Wapo Radio hii leo kabla ya kupanda kuimba.
Picha ya Juu ni Mtangazaji wa kituo cha Wapo Radio akifanya mahojiano na Bahati Bukuku Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Tanzania.
Picha ya Juu ni Mtangazaji wa kituo cha Wapo Radio akifanya
mahojiano na Bahati Bukuku Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini
Tanzania.
Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini,
Tanzania Masanja Mkandamizaji akiimba hii leo katika Kongamano la
Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Picha ya Juu ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini
Tanzania na Mchungaji Katunzi pamoja na Mkewe Rachel Katunzi wakiimba hii leo katika Kongamano la
Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Mtaalamu wa Vyombo kutoka City Music Sound akiimba kwa furaha baada ya kuzidiwa na furaha na hatimaye kushindwa kujizuia.
Picha ya Juu ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili hapa Nchini
Tanzania Mchungaji Katunzi na Waimbaji wengine wakiimba hii leo katika Kongamano la
Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Picha ya Juu ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini, Tanzania Christina Mbilinyi na Bahati Bukuku wakiimba hii leo katika Kongamano la
Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini,
Tanzania Masanja Mkandamizaji akiimba hii leo katika Kongamano la
Maombi na Maombezi linaoendeshwa na Mchungaji Frolian Katunzi.
Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya Solomoni Mukubwa akiimba hii leo katika Kongamano la

Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili wa hapa nchini Tanzania Bahati Bukuku akiimba hii leo katika Kongamano la

No comments:
Post a Comment