Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki wakishuhudia utiwaji saini mkataba wa haja ya kuwepo
kwa ushirikiano wa kibiashara kati ya Marekani na nchi za Jumuiya hiyo
katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi,
Kenya.
Zoezi hili lilifanywa baina ya Mawaziri wa Bishara wa nchi wanachama wa Jumuiya na Kaimu Waziri wa Bishara wa Marekani Bi Rebecca Blank aliyehudhuria kikao hicho.
Zoezi hili lilifanywa baina ya Mawaziri wa Bishara wa nchi wanachama wa Jumuiya na Kaimu Waziri wa Bishara wa Marekani Bi Rebecca Blank aliyehudhuria kikao hicho.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia Rais Mwai Kibaki wa Kenya akimkabidhi
nyundo Rais Yoweri Muzeveni kama ishara ya kukabidhi Uienyekiti wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ujumbe
wa Tanzania katika mkutano wa nne wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika
ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi,
Kenya.
Kenya.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kijana Joel Adagson Mwigomole kwa
kuibuka mshindi wa pili wa kuandika Insha kwa wanafunzi wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa nne wa
Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi, Kenya. Joel ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika
shule ya sekondari ya Mzumbe, Morogoro.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Museveni wa Uganda
akimpongeza kijana Joel Adagson Mwigomole kwa kuibuka mshindi wa pili wa
kuandika Insha kwa wanafunzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakati wa mkutano wa nne wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.Joel ni
mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mzumbe,
Morogoro.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki na washiriki mwishoni mwa kikao cha nne cha
Jumuiya nje ya Jengo la Mikutano wa Kimataifa la Jomo Kenyatta jijini
Nairobi, Kenya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa kwa heshima wakati anaondoka jijini Nairobi, Kenya.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment