KWA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA NASI KWA SIMU: +255 718 267 171 / +255 784 367 826 au +255 754 367 826. P.O.Box 71415 KARIBU SANA.

Monday, November 12, 2012

PTA HALL YAFURIKA BARAKA ZA KRISTO

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania Christina Mbilinyi akiimba kabla ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center kuanza kuhubiri
 Picha ya Juu Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika hali ya furaha wakati wa kipindi cha kusifu wewe mwenyewe unaona namna Simu zilivyogeuka Kamera kubwa kama yangu.

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania Martha Mwaipaja wa John Said akiimba kabla ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center kuanza kuhubiri

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania Martha Mwaipaja wa Joh Said akiimba kabla ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center kuanza kuhubiri pembeni yake ni Muimbaji wa Kimataifa kutoka Kenya Solomoni Mukubwa akipata kumbukumbu ya Picha.

 Picha ya Juu ni Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya akishiriki Kuombea Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam huku Mtumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center akiendeleza Maombi hayo.

 Picha ya Juu ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania Madam Ruth akiomba huku akiwa amezama kwenye maombi baada ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center kuanza Maombi.

 Picha ya Juu ni Mtumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center akiwa katika hali ya Maombi huku akiombea Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofika katika Kongamano.
 Picha ya Juu ni Watumishi wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wa EAGT City Center na Mchungaji Athanase Camilly kutoka EAGT Isanga Mbeya wakiwa katika hali ya Maombi huku wakiombea Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofika katika Kongamano.
Picha ya juu Muimbaji wa Nyimbo za Injili Solomoni Mukubwa akiwa katika hali ya Furaha hii ikiwa ni Baada ya Maombi na Maombezi katika Kongamano hilo.
Picha ya Juu ni Waimbaji Madam Ruth pamoja na Martha Mwaipaja wakiwa na Solomoni Mukubwa kwa Pamoja wakimsikiliza Mtumishi wa Mungu wa Mungu Mchungaji Frolian Katunzi wakati akitamka Neno la Baraka kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.

2 comments: