Suku ya Jumapili katika viwanja vya Sabasa Ukumbi wa PTA lilianza Kongamano la Maombi na Maombezi chini ya Kanisa la Evangelistic Assemblies Of God City Centre ambapo muhubiri wa Kongamano ni Mchungaji Frolian Katunzi.
Konngamano hilo litakalochukua siku Nane bado linaendelea katika Viwanja hivyo vya Sabasaba PTA Hall huku maelfu wakimiminika kuhudhuria Kongamano hilo ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki toka siku ya kwanza ya Kongamano lenyewe,
Chini ni Tangazo la Kongamano hili chini ya Mtumishi wa Mungu Froliani Katunzi.
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Samueli Limbu akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania
Silas Mbiseambaye pia ni Mtangazi wa Kituo cha Wapo Radio akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Mchungaji Yohana Mwegoha akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Masanja Mkandamizaji ambaye pia ni Mshiriki wa Kikundi za Ze Komedi akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Frola Mbasha akiimba na Mumewe Emanuel Mbasha wakiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania Eveline Msoome akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Picha ya juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nchini Kenya
Solomoni Mukubwa akiimba katika Kongamano siku ya Ufunguzi hapo Jana
Kumbuka waimbaji wote hawa watakuwepo siku zote za Kongamano la Maombi na Maombezi.
No comments:
Post a Comment