Aidha pia katika mkutano huo wa injili kulikuwa na kulikuwana Uimbaji wa Muziki wa injili ambapo waimbaji mbalimbali walikuwepo kama vile Martha Baraka na Christina Mbilinyi pasipo kumsahau Frola Mbasha aliyerejea kutoka Ughabuni hivi juzi.
Katika picha ni baadhi ya matukio mbalimbali katika viwanja vya jangwani hapo jana.
Picha ya juu wake za Wachungaji wakiwa katika hali ya Maombi hapo jana katika viwanja vya Jangwani.
Picha ya juu ni Baadhi ya watu waliufunguliwa na nguvu za Giza ambapo jana wengi walifunguliwa katika nguvu hizo kwa jina la Yesu.
Picha ya juu Muimbaji wa Nyimbo za Injili Christina Mbilinyi akiimba katika mkutano wa Injili katika viwanja Jangwani.
Picha mbili za juu zikionyesha kwa vitendo wakati wimbo wa Baraka yako ulipokuwa ukiendelea ambapo Mkutano mzima ukiongozwa na Christina Mbilinyi akinyoosha Mikono mbele kuwabariki watumishi wa Mungu wakiongozwa na Askofu Mkuu Dk. Moses Kulola aliyesimama ni Askofu Bruno Mwakibolwa.
Picha tatu za Juu ni Muimbaji Frola Mbasha na Mumewe wakiongoza Sifa katika viwanja vya jangwani ambapo pia Uhusiano wa Frola Mbasha na Askofu Kulola ni Babu na Mjukuu.
Picha Juu ni baadhi ya watu waliofika katika Jangwani hapo JanaMke wa Askofu Mkuu Moses Kulola aliye Katikaki akiomba pamoja na wake za Viongozi hapo jana katika viwanja vya Jangwani.
Picha ya Juu ni Baadhi ya watu wakibebwa baada ya kudondoshwa na Nguvu za Giza huku jina Bwana Yesu likiwafunguwa kwa uweza na nguvu.
No comments:
Post a Comment