Picha ya Juu Mwimbaji wa Nyimbo za injili Bonn Mwaitegeakishirikia na Solomoni Mukubwa kuimba Wimbo wa Mama hapo jana Katika viwanja Jangwani.
Picha ya Juu Faraja Ntaboba Muimbaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo naye akishiriki kuimba wa Mama wa Bonn Mwaitege hapo Jana Jangwani.
Muimbaji Solomoni Mukubwa akiimba na Watu wengi waliofika katika Viwanja vya jangwani hii leo hiku idadi ya watu ikionekana ni kubwa sana.
Picha ya Juu Kikundi cha Bendera kikiongoza Kuhamasisha watu walioko katika viwanja vywa jangwani kujua umuhimu wa wao kuwa mahali hapo.
Watu wakionekana kushindwa kuzuia hisia zao baada ya kibao cha Mfalme wa Amani kupigwa cha Solomoni Mukubwa na baadaye kumtumza Muimbaji huku Bonn Mwaitege naye akionekana kuimba.
Picha juu Mwinjili Ernest Rwehabura akiendesha Ibada ya Maombi ya Sadaka uwanjani hapo Mapema kabla ya Askofu Kulola kusimama.
Faraja Ntaboba akiimba wimbo wa Yuko Mungu hapo jana katika vinja vya Jangwani.
Picha ya juu na ya chini Askofu Moses Kulola akihubiri hapo jana katika viwanja vya jangwani ambapo mamia ya watu walifurika katika viwanja hivyo vya Jangwani.
Mchungaji Frolian Katunzi akiendesha ibada ya Maombi baada ya watu kupokea Uponyaji kwa Yesu Kristo mara baada ya Askofu Kulola kumtaka kufanyahivyo.
Askofu John Zacharia akigakua kwa makini watu waliofika katika viwanja vya jangwani namna wanavyoachana na dhambi na kumrudia Mungu.
Picha ya juu na za Chini Muimbaji wa nyimbo za injili Martha Mwaipaja akiwa na Mumewe wakishiriki katika Kumtukuza Mungu hapo jana katika viwanja vya jangwani.
No comments:
Post a Comment