Jana kulikuwa na Timu ya waimbaji kutoka Mito ya Baraka iliyoongozwa na Faraja Ntaboba huku kituo cha Wapo Radio Fm wakirusha Matangazo hayo moja kwa moja ili kuwapa wengine nafasi ya kupata injili.
Picha za chini ni baadhi ya matukio ya siku ya Jana ambapo waimbaji baadhi walishiriki kusifu na kuabudu.
Picha ya Juu Muimbaji wa nyimbo za Injili Prosper Jereimah akiinjilisha watu waliofika katika viwanja vya jangwani.
Picha ya Juu Masanga akibebwa na Bonny Mwaitege huku Faraja Ntaboba akifurahia tukio Hilo hapo jana. |
Picha ya Juu Masanja kushoto katikati Mwaitege na kulia Ntaboba wakishgiriki kwa pamoja kusifu na kuabudu katika viwanja vya Jangwani.
Picha ya Juu Solomoni Mukubwa akiinjilisha kwa Muziki wa Injili katika viwanja vya jangwani huku mamia ya watu wakishuudia
Picha ya juu Mamia ya wakazi wa Jijin la Dar es Salaam wakishiriki katika mkutano wa Injili katika viwanja vya jangwani.
Picha ya Juu Wapo Radio Fm wakishiriki katika kurusha Matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa injili katika viwanja vya jangwani.
Picha ya Juu Askofu Kulola akiwafanyia maombi baadhi ya watu waliofika katika viwanja vya jangwani.
Picha ya juu ni Askofu John Zacharia akiwafanyia maombi ya ulinzi watu waliofika katika viwanja vya jangwani.
No comments:
Post a Comment