Mchungaji Katunzi amesema kuwa Ibada ya Jumapili ijayo ya tarehe 02 September 2012 itakuwa ni Ibada ya Nguvu na maalumu kwa wale wote wenye kusumbuliwa na matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Nguvu za Giza, Mchungaji Katunzi amewaomba wale wote wenye kusumbuliwa na Matatizo hayo wafike katika Kanisa la EAGT City Center.
Katika picha ni baadhi ya Matukio yaliyotendeka katika Ibada ya EAGT City Center.
Picha ya juu ni Waimbaji wa nyimbo za Injili kushoto ni Stara Thomas na kulia ni Madam Ruth wakisifu kwa pamoja katika ibada ya EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
Picha ya Juu ni Muimbaji wa nyimbo za Injili Madam Ruth akiimbia kwa Furaha katika Ibada ya EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
Picha ya Juu aliyeshika Kipaza Sauti ni Mwinjilisti Sospeter Mgema akiwa amezama katika Uimbaji katika ibada hii leo EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
Picha ya juu ni muimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Tanzania Stara Thomas akiimba katika Ibada ya Kanisa la EAGT City Center kwa Mchungaji Katunzi.
Picha ya juu ni Katibu Msaidizi wa Kanisa la EAGT City Center Bwana Gidion Mwashihongo akifafanua baadhi ya Matangazo ndani ya Kanisa hilo ikiwa ni kabla ya Ibada kuu.
Picha ya juu ni Mchungaji Frolian Katunzi akisoma Neno la utangulizi kabla ya kuanza kwa Mafundisho ya Ibada ya leo ndani ya Kanisa la EAGT City Center.
Picha ya juu ni Mchungaji Katunzi akifungisha Ndoa ya washarika wa Kanisa hilo hii leo ndani ya Kanisa leo.
Picha ya juu ni Kwaya ya EAGT City Center Maarufu kama Mifupa Mikavu wakiimba katika Ibada ya Kania hilo hii leo kabla ya kuanza kwa Maombi.
Picha ya juu ni Mchungaji Katunzi akiongoza ibada ya Mombi kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam walioshiriki katika ibada ya Kanisa la EAGT City Center hii leo.
Picha ya juu ni Mchungaji Katunzi akiongoza ibada ya Mombi kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam walioshiriki katika ibada ya Kanisa la EAGT City Center hii leo.
No comments:
Post a Comment